video: clouds tv yashutumiwa kudhalilisha mabibi kupitia kipindi cha bibi bomba
Kumekua na tuhuma kutoka mitaani kua kipindi maarufu cha bibi bomba kinachorushwa na Clouds Tv kinadhalilisha mabibi,wakati kituo hicho c...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/video-clouds-tv-yashutumiwa.html
Kumekua na tuhuma kutoka mitaani kua kipindi maarufu cha bibi bomba kinachorushwa na Clouds Tv kinadhalilisha mabibi,wakati kituo hicho cha Tv kikijiandaa na msimu mwingine wa kipindi hicho,Ruge Mtahaba ambae ni kati ya wakurugenzi wa kituo hicho alilitolea swala hilo ufafanuzi alipohojiwa na Millard Ayo,mtizame hapo chini;


Bibi zetu wanafaidika kupata mamilioni ya shilingi kwa mshindi wa kwanza,sidhani km wanadhalilishwa naona tu wanafaidika.
ReplyDeleteMbona bibi tu anaweza taniana na mjukuu wake na kawaida mi sion tatizo hapo.bwana.
ReplyDelete