DISQUS SHORTNAME

video: clouds tv yashutumiwa kudhalilisha mabibi kupitia kipindi cha bibi bomba

Kumekua na tuhuma kutoka mitaani kua kipindi maarufu cha bibi bomba kinachorushwa na Clouds Tv kinadhalilisha mabibi,wakati kituo hicho c...


Kumekua na tuhuma kutoka mitaani kua kipindi maarufu cha bibi bomba kinachorushwa na Clouds Tv kinadhalilisha mabibi,wakati kituo hicho cha Tv kikijiandaa na msimu mwingine wa kipindi hicho,Ruge Mtahaba ambae ni kati ya wakurugenzi wa kituo hicho alilitolea swala hilo ufafanuzi alipohojiwa na Millard Ayo,mtizame hapo chini;

Related

HABARI YA MJINI 6796501732244793537

Post a Comment

  1. Bibi zetu wanafaidika kupata mamilioni ya shilingi kwa mshindi wa kwanza,sidhani km wanadhalilishwa naona tu wanafaidika.

    ReplyDelete
  2. Mbona bibi tu anaweza taniana na mjukuu wake na kawaida mi sion tatizo hapo.bwana.

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item