DISQUS SHORTNAME

video:binti aliechoka chuo na kuomba aolewe,tetesi zinasema kafukuzwa chuo,yeye akanusha

Baada ya kusambaa kwa video ya mwanafunzi wa chuo aliedai kuchoka na shule mtandaoni na katika meseji fupi za whatsapp,leo kuna uvumi ulitok...

Baada ya kusambaa kwa video ya mwanafunzi wa chuo aliedai kuchoka na shule mtandaoni na katika meseji fupi za whatsapp,leo kuna uvumi ulitokea kua binti huyo amefukuzwa chuo na blogs kadhaa zilinukuliwa zikisema "Tue makini kwa video tunazopost" na kuongeza kua binti yule aliepost ile video kafukuzwa chuo kwa sababu ni malaya....!!!!!

Binti kajitokeza na kusema kua hajafukuzwa chuo na kuomba wanaozusha waache kufanya hivyo wafanye mambo yao,pia alifikisha ujembe huo kupitia status ya whatsapp katika simu yake kama inavyoonesha hapo chini.Kwa mujibu wa chanzo chetu bado haijafahamika mara moja kama binti huyo alikua anafanya utani ama alikua serious na haijafahamika pia kama kweli kafukuzwa chuo ama bado yuko chuoni.....!

Related

ZILIZOTUFIKIA 7139580408971524217

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item