MASKINI KICHANGA CHATUPWA MWANANYAMALA MAENEO YA MTO NGOMBE
MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng' ombe jirani na Rasco , Mwananyamala jiji...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/maskini-kichanga-chatupwa-mwananyamala.html
MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na
siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo
la mto Ng' ombe jirani na Rasco ,
Mwananyamala jijini Dar .
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo
kichanga hicho cha kiume kimekutwa eneo hilo leo asubuhi kikiwa kwenye mfuko wa Rambo .
Mtandao huu ulifanikiwa kuongea na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho, Bi . Husna aliyetoa rai kwa wananchi wa eneo lake kutojihusisha na vitendo viovu kama hiki , huku akiwasihi kutumia njia za uzazi wa mpango kujikinga na matatizo kama hayo. " Nina masikitiko makubwa kwa kitendo hiki , ni bora kichanga hiki kingeletwa serikalini tukilee kuliko kutupwa eneo hili . Kama wananchi mkishindwa kuvumilia bora mtumie
uzazi wa mpango," alisema Bi. Husna huku akiahidi kufanya uchunguzi wa kina kumtafuta muhusika !

jamani watu wana dhambi sana kwanini alibeba kama akijua hata zaa
ReplyDeleteRIP too sad by Sista duu wa kigoma ujiji
ReplyDeleteBinadam sis mungu atusamehe sna
ReplyDelete