DISQUS SHORTNAME

MAVAZI YA SENETA SHAROBARO YAMUACHA HOI RAIS WA KENYA

Senator Mike Sonko ambaye amekuwa maarufu kutokana na jinsi anavyoishi maisha ya ‘kisharobaro’ aliwavunja mbavu rais wa Kenya, Uhuru K...


Senator Mike Sonko ambaye amekuwa maarufu kutokana na jinsi anavyoishi maisha ya ‘kisharobaro’ aliwavunja mbavu rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa mavazi yake. Rais Uhuru na Ruto walikuwa uwanja wa ndege wakimpokea kiongozi wa China, Li Keqiang na walipokuwa uwanjani hapo walikutana na Sonko ambaye pia alikuja kwa shughuli hiyo.
Uhuru na Ruto walishindwa kujizuia na kuangua kicheko walipomuona Sonko akiwa amevaa koti zuri la suti na tai huku chini akiwa ametupia
jeans iliyochanwachawa (fashion). Rais Uhuru alionekana kwenye picha akicheka huku akinyoosha kidole kwenye jeans ya Sonko na Sonko.
na timesfmtz.co.tz

Related

HABARI YA MJINI 4880098543554709248

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item