DISQUS SHORTNAME

DK .CHENI ASIKITISHWAKUZUSHIWA KIFO

Msanii wa sinema za Kibongo, Mahsin Awadh’ Dk .Cheni ’ amesikitishwa kuzushiwa kifo na baadhi ya watu ,Msanii alisema kuwa kufa ni lazima...


Msanii wa sinema za Kibongo, Mahsin Awadh’ Dk .Cheni ’ amesikitishwa kuzushiwa kifo na baadhi ya watu ,Msanii alisema kuwa kufa ni lazima na hakuna atakayebaki lakini siyo vizuri kumzushia kifo mtu .Kupitia mtandao wa instagram aliandika … Jaman kifo kipo na hakuna atakaye kwepa ni lazima tutakufa na hakuna atakayebakia ila si vyema kunizushia cku yangu itafika tu na wote mtajuwa lakin si jambo la busara kunizushia ..

Related

STORY ZA KITAA 8620761524406504102

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item