WEMA SAPETU NA ANTY EZEKIELWALA ‘PANADOL’ KUJIKINGA NAUGONJWA WA DENGUE
Mastaa wa filamu za Kibongo Wema Sepetu na Anty Ezekiel wameonekana wakinywa dawa aina ya panadol ili kujikinga na ugonjwa uliozuka hiv...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/mastaa-wa-filamu-za-kibongo-wema-sepetu.html

Mastaa wa filamu za Kibongo Wema Sepetu na Anty Ezekiel wameonekana wakinywa dawa aina ya panadol ili kujikinga na ugonjwa uliozuka hivi karibuni ambao umeua watu kadhaa na wengine wakiwa mahospitali unaojulikana kama dengue. Kupitia mtandao wa instagram anty alipost picha wakiwa wameshikilia dawa hizo mikononi wakati wakila bata sehemu Fulani huku wakijiandaa kuzimeza ,huku akiandika hivi .. Dengue hili haya twende kazi Panadol time … Sababu mojawapo inayoweza kuambukizwa
ni kuvaa nguo fupi sasa kwa mastaa wanaopenda kula bata huku wamevaa nguo fupi ndiyo wanajikinga kama Anty na Wema .

