UNAONA NINI NA UNA NINI ???
Kwa wale wakristo sina hakika upande wa wenzetu waislam katika vitabu vyao,wakati Mungu kakutana na Musa alimuuliza una nini mkononi !!? ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/11/unaona-nini-na-una-nini.html
Kwa wale wakristo sina hakika upande wa wenzetu waislam katika vitabu vyao,wakati Mungu kakutana na Musa alimuuliza una nini mkononi !!? Lakini pia alipokutana na Yeremia ni alimuuliza unaona nini !!???
Haya maswali yana umhimu sana katika situation unayopitia,kuna watu wanafursa mikononi lakini hawajui kama zile ni fursa kwao,kuna watu wanaona ulipo ni fursa lakini wewe unaona ni tatizo !!! Namna unavyotizama mambo ndivyo mambo yanavyotokea !!
Ntakupa mfano ofisini kwako imetokea tatizo na ikawalazimu wapunguze wafanyakazi,na wewe ukawa kati ya ile list ya watu wa kupunguzwa,wewe unalitizama vipi !? Kwa mwingine atakwambia ukimpiga chura teke umemwongezea mbio,lakini wewe unaweza ukaona wamekuonea na unaweza poteza network,sasa namna unavyohandle hiyo hali na kitu utakachofikiri kufanya mara utakapopewa zile taarifa ndio jambo la msingi.Huo ndio mda mhim sana kwako na ukiutumia vizuri hutajuta lakini utajilaum kua ulichelewa kuamua kufanya hicho unachofanya.Lakini pia kuna watu wana resource kama vifaa ,pesa na watu wa kuwasaidia hawajui namna ya kutumia hizo fursa na ndio swali langu nalirudisha kwako kua una nini !? au unaona nini !!? usitizame tatizo kama tatizo litizame in a positive way halafu suluhisho lake ndio kula yako lakini pia mda mwingine inategemea ni tatizo la aina gani na limesababishwa na nini !! Cha mhimu usikate tamaaa just do what ever it takes keep on going dont look mambo ya jana na siku zote shetani hua anakandamizia hapo mwana wane ukitaka kufanya anakwambia jana ulifail unarudi kukaa.Endelea siku zote mwisho mzuri una mwanzo mgumu.

