DISQUS SHORTNAME

Video ya Diamond Platnumz yavunja rekodi na kuipiku video ya P Square

Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani y...


Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku nne. Video ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165 huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina views 400,525.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item