DISQUS SHORTNAME

Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Morogoro Warda Makongwa [mbele] akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni...

Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Morogoro Warda Makongwa [mbele] akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar kulia ni mwandishi Mwandamizi wa Global Publishers lssa Mnally Mzee wa GX 100 akitaniana na Dida


Kulini ni mdogo wa mwandishi wa Global Publishers lmelda Mtema ambaye naye alifunga safari kutoka Dar mpaka Moro kuja kwenye Birthday hiyo

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item