DISQUS SHORTNAME

Lady Jaydee: Mimi Siyo Yesu Wala Bikra Maria

Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na mtangazaji  maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kep...



Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na mtangazaji  maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’, supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria. 
 
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi iliyopita Jide aliamua kuvunja ukimya kufuatia maswali ya mashabiki wake lukuki waliotaka afunguke kinachoendelea katika maisha yake.

“Watu wanategemea niwe kama Yesu au Bikira Maria? Siwezi, mimi ni mwanadamu tu. Hakuna aliye mkamilifu. Niacheni niishi maisha yangu bila stresi. Mwingine yeyote pia aishi maisha yake. Kila mmoja anatakiwa awe huru,” aliandika Jide.

Related

HABARI YA MJINI 3154507780409676027

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item