DISQUS SHORTNAME

GADNER G HABASH AKIJIVINJARI NA BI SHOSTI BAADA YA KUBWAGANA NA LADY JAYDEE

Kumekua na usiri mkubwa kati ya wawili hawa tangu maneno ya kuachana kwao yaliposambaa mitandaoni na viashiria kutoka kwa Lady Jaydee viki...

Kumekua na usiri mkubwa kati ya wawili hawa tangu maneno ya kuachana kwao yaliposambaa mitandaoni na viashiria kutoka kwa Lady Jaydee vikionesha kuachana kwao ikiwa ni pamoja na kubadilishwa jina kwa mgahawa waliokua wanamiliki pamoja na bi dada kupost maneno katika mitandao ya jamii yaliyoashiria hawako pamoja.

Hivi karibuni Gadner amepost picha akijivinjari na bi dada ambae jina lake haikufahamika mara moja akiashiria kua ndio ameamua kuendela na maisha yake na hakuna ndoa tena.

Related

HABARI YA MJINI 7482855608516664907

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item