STEVE NYERERE AWAFUNGUKIA BONGO MOVIES WANAOJIPODOA NA KUPIGA MAPICHA MISIBANI
Inasemekana eti Steve nyerere kapiga marufuku mastaa wa Bongo Movie Kwenda kwenye Msiba wakiwa na Miwani na Make up na Kope za Kubandika n...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/steve-nyerere-awafungukia-wanaojipodoa.html


Hta mimi huwa najiuliza,inakuaje jmn msibani tena WA rfk au mtu Wako WA krb unaanza kupiga picha Mara Tu unapofika eneo la msiba na kuipost insta?!!! Msibani Ni mahala pa kufarijiana na sio kujionyesha wapendwa. Hongera Steve kwa kuliona hilo
ReplyDeleteKweli kabisa aisee, mie mpk nilishawahi kujiuliza au huko msibani wanaenda kwa show off tu. Wewe kutwa mapicha kama mapaparazi hivi aibu mtu huoni??
ReplyDelete