DISQUS SHORTNAME

STEVE NYERERE AWAFUNGUKIA BONGO MOVIES WANAOJIPODOA NA KUPIGA MAPICHA MISIBANI

Inasemekana eti Steve nyerere kapiga marufuku mastaa wa Bongo Movie Kwenda kwenye Msiba wakiwa na Miwani na Make up na Kope za Kubandika n...

Inasemekana eti Steve nyerere kapiga marufuku mastaa wa Bongo Movie Kwenda kwenye Msiba wakiwa na Miwani na Make up na Kope za Kubandika na Kupiga Picha Kuposti Instagram ya kinachoendelea baada ya kukaa msibani kwenye Majonzi na kushiriki kikamilifu.
WEWE MDAU UNA MAONI GANI KUHUSU HILI???

Related

BONGO MOVIE 1015005757968672381

Post a Comment

  1. Hta mimi huwa najiuliza,inakuaje jmn msibani tena WA rfk au mtu Wako WA krb unaanza kupiga picha Mara Tu unapofika eneo la msiba na kuipost insta?!!! Msibani Ni mahala pa kufarijiana na sio kujionyesha wapendwa. Hongera Steve kwa kuliona hilo

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa aisee, mie mpk nilishawahi kujiuliza au huko msibani wanaenda kwa show off tu. Wewe kutwa mapicha kama mapaparazi hivi aibu mtu huoni??

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item