Kiukweli Lulu huwa anajitahidi sana kupangilia mavazi, viatu na nywele. Huwa anapendeza sana pamoja na umbo lake kuwa dogo huwa anajua avae nini...katika wadada wa bongo movie wanaovaa vizuri katika list huwezi kumuacha lulu, au wewe mdau unasemaje??...