SHILOLE AWAFUNGUKIA WALEWANAOKOSOA UHUSIANO WAKENA MPENZI WAKE NUHUMZUWANDA
STAA wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed’ Shilole’ amewafungukia wale watu wanaokosoa uhusiano wake na mpenzi wake wa sasa Nuhu Mzuwanda...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/shilole-awafungukia-wale-wanaokosoa.html
STAA wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed’ Shilole’ amewafungukia wale watu wanaokosoa uhusiano wake na mpenzi wake wa sasa Nuhu Mzuwanda wakisema kuwa msanii huyo anamfanya mpenzi wake Marioo. Aidha Shilole amekana na kusikitishwa na habari hizo za kumfanya Nuhu Mzuwanda kama marioo na hamtegemei yeye kwa kila kitu na kwamba uhusiano kwa sasa una muda wa miezi sita .

