DISQUS SHORTNAME

AUDIO: MIRROR APIGA COLLABO NACHAMELEONE

Staa wa ngoma ya Oh! Baby leo Mirror Mirror kutoka Endless Fame weekend iliyopita ilikua kimya bahati kwake baada ya kupiga kolabo kubwa ...


Staa wa ngoma ya Oh! Baby leo Mirror Mirror kutoka Endless Fame weekend iliyopita ilikua kimya bahati kwake baada ya kupiga kolabo kubwa na msanii kutoka Uganda Dr . Jose Chameleone ambaye alikuja Bongo kwa ajili ya tuzo za Kili Tanzania Music Awards .Kwenye list ya wasanii wanaoingiza mtonyo
mrefu barani Afrika kwa mwaka Chameleone anashika nafasi ya kumi, kwa zaidi ya miaka 10 amekua akitoa ngoma kila mwaka.MirrorMirror anafunguka alipataje nafasi hiyo .

Related

BONGO FLAVA 2235930465567330908

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item