AUDIO: MENEJA WA MSANIISHAA ,MKUBWA FELA AFUNGUKA SABABU YA MSANII HUYOKUTO PAFOMU KWENYE TUZO ZA KILI
Usiku wa utoaji wa tuzo za Kili Music Awards Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Mlimani City, Dar msanii Sara Kaisi ‘ shaa’ alitakiwa ku...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/meneja-wa-msanii-shaa-mkubwa-fela.html
Usiku wa utoaji wa tuzo za Kili Music Awards Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Mlimani City, Dar msanii Sara Kaisi ‘ shaa’ alitakiwa kupafomu, lakini mpaka muda unafika msanii huyo alikuwa hajatokea pande hizo ingawa madansa wake walikuwepo ukumbini hapo kwa ajili ya kupafomu. Clouds fm imepiga stori na meneja wa Shaa , Mkubwa Fela amefunguka ni kitu gani kilimtokea msanii huyo.

