DISQUS SHORTNAME

PREZZO APAGAWISHA MISS IFM , AMNANGA EX WAKE CHAGGA BABY

Prezzo yupo dar kwa show maalumu ya miss IFM iliyofanyika jana ambapo jamaa alipagawisha vilivyo show ikinogeshwa na vipaji mbali mbali. ...


Prezzo yupo dar kwa show maalumu ya miss IFM iliyofanyika jana ambapo jamaa alipagawisha vilivyo show ikinogeshwa na vipaji mbali mbali.

Kabla ya show hiyo prezzo alihojiwa na eatv katika mahojiane yake aliulizwa maswali kuhusu mpenzi wake dada wa kitanzania aishie USA aitwaye kwa jina la  Starlisha au chaggabarbie...
  Prezzo akifunguka alisema hajawahi kumpenda huyo dada bali alisakiziwa tu na wakati yupo nae hakujua kama ana tabia za ajabu ni kama alivaa mask wakati yupo na nae na bahati mbaya mask ikaanguka na kufanya tabia zake kuwa wazi...
    Inasemekana sasahivi prezzo yupo na mwanamke mwingine aitwaye Vera.

Related

HABARI YA MJINI 8166739921049632862

Post a Comment

  1. buhahaha chagga unalo hilo wewe c ulimdhalilisha insta yeye kakutangaza ktk tv uwiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Bikizee kaumbuliwa na kichaa ndo kinazidi huko insta na sura laje zitoo kuhifanya mtoto kmt....

    ReplyDelete
  3. Koh koh uwiiiii kichaa kweli

    ReplyDelete
  4. Lol alivyo panic uko insta bibie. So funny.

    ReplyDelete
  5. Nyie mliocomment hapo wote wasenge. .maneno aliyoongea prezzo ni maneno ya mkosaji na kasema hivyo coz aliambiwa ana kibamia. Starlisha hawezi kumpenda mtu kama prezzo sura mbovu kama maiti,domo kubwa kama chaijaba. Na ashukuru starlisha kazidisha kumpa umaarufu kwani hata kuimba hajui kibamia huyo

    ReplyDelete
  6. Hahahaha ...kanitangaze

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item