DISQUS SHORTNAME

STEVE NYERERE AMUONYA WEMA

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere ’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka um...

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere ’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi . Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere’ .
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato . Wema . “Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa alistahili lakini Wema naye anapaswa kuiga mfano, vinginevyo atakuwa maarufu bila ya heshima, ” alisema Steve Nyerere .

Related

BONGO MOVIE 1668499333145546002

Post a Comment

  1. we nae bwege kawaonye magezeti waache kumuandika

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeonaee bwege sana huyu chaufupi

      Delete
  2. Wakati mwingine mashabiki wa wema tunamuharibia tukidhani tunampenda kumbe tunatengeneza mazingira magumu kwake

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item