STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere ’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka um...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/steve-nyerere-amuonya-wema_10.html
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere ’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi . Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘ Stive Nyerere’ .
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato . Wema . “Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa alistahili lakini Wema naye anapaswa kuiga mfano, vinginevyo atakuwa maarufu bila ya heshima, ” alisema Steve Nyerere .

we nae bwege kawaonye magezeti waache kumuandika
ReplyDeleteumeonaee bwege sana huyu chaufupi
DeleteWakati mwingine mashabiki wa wema tunamuharibia tukidhani tunampenda kumbe tunatengeneza mazingira magumu kwake
ReplyDeletetunamharibia kivipi?
Delete