PREZZO APAGAWISHA MISS IFM , AMNANGA EX WAKE CHAGGA BABY
Prezzo yupo dar kwa show maalumu ya miss IFM iliyofanyika jana ambapo jamaa alipagawisha vilivyo show ikinogeshwa na vipaji mbali mbali. ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/prezzo-apagawisha-miss-ifm-amnanga-ex.html
Prezzo yupo dar kwa show maalumu ya miss IFM iliyofanyika jana ambapo jamaa alipagawisha vilivyo show ikinogeshwa na vipaji mbali mbali.
Kabla ya show hiyo prezzo alihojiwa na eatv katika mahojiane yake aliulizwa maswali kuhusu mpenzi wake dada wa kitanzania aishie USA aitwaye kwa jina la Starlisha au chaggabarbie...
Prezzo akifunguka alisema hajawahi kumpenda huyo dada bali alisakiziwa tu na wakati yupo nae hakujua kama ana tabia za ajabu ni kama alivaa mask wakati yupo na nae na bahati mbaya mask ikaanguka na kufanya tabia zake kuwa wazi...
Inasemekana sasahivi prezzo yupo na mwanamke mwingine aitwaye Vera.


buhahaha chagga unalo hilo wewe c ulimdhalilisha insta yeye kakutangaza ktk tv uwiiiiiiiiii
ReplyDeleteBikizee kaumbuliwa na kichaa ndo kinazidi huko insta na sura laje zitoo kuhifanya mtoto kmt....
ReplyDeleteKoh koh uwiiiii kichaa kweli
ReplyDeleteLol alivyo panic uko insta bibie. So funny.
ReplyDeleteNyie mliocomment hapo wote wasenge. .maneno aliyoongea prezzo ni maneno ya mkosaji na kasema hivyo coz aliambiwa ana kibamia. Starlisha hawezi kumpenda mtu kama prezzo sura mbovu kama maiti,domo kubwa kama chaijaba. Na ashukuru starlisha kazidisha kumpa umaarufu kwani hata kuimba hajui kibamia huyo
ReplyDeleteHahahaha ...kanitangaze
ReplyDelete