DISQUS SHORTNAME

Ndoa ya Kanye West na KimKardashian sasa kufungwa Italiana si Ufaransa

Ripoti mpya zinadai kuwa harusi ya rapper Kanye  West na mama wa mwanaye Kim Kardashian sasa itafanyika Italia na sio Paris, Ufaransa ka...


Ripoti mpya zinadai kuwa harusi ya rapper Kanye  West na mama wa mwanaye Kim Kardashian
sasa itafanyika Italia na sio Paris, Ufaransa kama ilivyodhaniwa awali.
Entertainment Tonight imeripoti kuwa wageni waalikwa watakusanyika pamoja Paris, Ufaransa May 23 kwaajili ya chakula cha usiku ‘Pre
wedding dinner’, na baada ya hapo couple hiyo itawasafirisha wageni wote kwa ndege binafsi  tofauti kuwapeleka Florence, Italy ambako sherehe rasmi ya ndoa yao itafanyika. Kumekuwa na habari mbalimbali kuhusu ndoa ya Kanye na Kim, huku wengine wakidai kuwa couple hiyo tayari imeshafunga ndoa, habari ambazo Kim Kardashian amezikanusha hivi karibuni kupitia twitter kuwa bado hawajafunga ndoa.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 1183984602548181532

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item