DISQUS SHORTNAME

Kuna uwezekano Big BrotherAfrica 2014 ikawa ya mastaa tena!!

Kuna tetesi kuwa shindano la mwaka huu la Big Brother Africa linaweza kushirikisha sura zinazojulikana. Msimu wa tisa wa shindano hilo ut...


Kuna tetesi kuwa shindano la mwaka huu la Big Brother Africa linaweza kushirikisha sura zinazojulikana. Msimu wa tisa wa shindano hilo utahusisha baadhi ya washiriki waliowahi kuwemo mjengoni.

Hadi sasa waandaji wa show hiyo hawajatangaza mchakato wowote wa kuita maombi na mara zote
hadi May watu wengi huwa wanaanza kubashiri wawakilishi wa nchi zao. Msimu huu wa mastaa wote utakuwa na sura zinazofahamika kutoka nchi 14 na utaanza mwishoni mwa August baada ya kumalizika kwa
kombe la dunia.Miongoni mwa sura kutoka Tanzania zinazoweza  kurejea ni pamoja na Nando au Feza Kessy.

Related

ZILIZOTUFIKIA 5687966799742186836

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item