Kwanini shabiki wa Diamond Platnumz hutomwezesha ashindetuzo za BET
Bila shaka mashabiki wa Diamond Platnumz watakuwa na shauku kubwa ya kufahamu codes za kumpigia kura staa huyo aliyetajwa kuwania tuz...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kwanini-shabiki-wa-diamond-platnumz.html
Bila shaka mashabiki wa Diamond Platnumz
watakuwa na shauku kubwa ya kufahamu codes
za kumpigia kura staa huyo aliyetajwa kuwania tuzo za BET mwaka huu
kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, kama ilivyo katika
tuzo zingine.
Habari mbaya ni kuwa hakuna codes zozote zitakazotolewa
kwakuwa tuzo hizo zina utaratibu tofauti kabisa na tuzo zingine kama
CHOAMVA ama MTV MAMA. Ili kupata washindi, tuzo za BET huwa ina jopo la
watu 500 duniani (academy member) ambao huchagua mshinda katika
vipengele vyote. Habari njema ni kuwa, Vanessa Mdee pia ni
miongoni mwa member wa academy hiyo ambayo
hakuna shaka kuwa atampa Diamond kura moja kama alivyosema: “Y’all
already know where my vote went

