DISQUS SHORTNAME

MSANII MWINGINE BONGO MOVIE APATA AJALI

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo...


Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Related

BONGO MOVIE 2793163675128019396

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item