weekend talks:Kwakweli bata ukimchunguza sana huwezi kumla
....duh....oooh mimi nataka kumjua x wa bwana angu(akusaidie nini?) ........oooh )wanaume )...oooh baby ulikuwa na mabwana wangap kabla ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kwakweli-bata-ukimchunguza-sana-huwezi.html
embu tusiwe na akili za kushikiwa kama kuku au kondooo kudadadeki ... guys kama umeamua kuwa na huyo manzi(kwa wanaume) wewe kuwa nae tu as long as you are happy... na wew msichana kama umeamua kuwa na huyo chalii kuwa nae tu...masuala ya kuulizana past aka maswali ambayo am sure hauko ready kupokea majibu yake ya ukweli ni upuuzi mtupu... am sure hutoambiwa ukweli...ni uongo ndio utatatawala sababu either way it can either keep you negative perception on her/him sababu ya historia yake au dharau zitaanzia hapo .....eti unamuuliza kwanin uliachana na bwana ako au girl wako(probably hili swali linahitajika but what if alifumaniwa r u expecting atakuambia alifumaniwa?am just saying) hahaha mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia mimi .....hahaha hivi unategemea atasema ukweli hata kama makosa ni yake???? kama noma na iwe noma lazima avutie kwake ...oh baby si unajua mi napenda watu waaminifu (heheh nani hapendi mpenz awe mwaminifu?) eti my ex nilimfumania so i could not take it anymore u knw.....hehhe kumbe pengine alifumaniwa yeye... hehehe mahaba nitie wazimu nitie watu mawe mjini hapa hahahha bongo dukinaaaaaaaa jaman tuhachane na haya mapast .aka maswali ya kimapokeo aka maswali ambayo hatuko ready kupokea majibu yake kwa moyo mmoja take it from me no one is perfect but trust me you can make someone your perfect partner you have a power to create a perfect patner so as your own monster by your self let me ask you hata kama amedate mabwana/wanawake mia before u (she/he loved,she/he love and she/he probably will love again if u dump her/him) as long as she/he makes you happy what else do u need?? Hebu jipange na ujielewe


ki ukweli sihitaji mjua wala sihitaji kuona hata picha yake,chapter yake imeshapita hii yangu nakula vyangu habari ya kujifanya unataka jua kila kitu cha bwana utaachia ngaz bila kupenda
ReplyDelete