DISQUS SHORTNAME

Inasemekana mpenzi wa Ney waMitego anataka kugawana vituna Ney,sababu ipo hapa.

Miongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi wake ...


Miongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi wake ametaka kugawana vitu na Ney wa Mitego ambavyo amevipata wakiwa pamoja,maongezi ya Ney wa Mitego alipoulizwa na Soudy Brown juu ya tuhuma hizi kama ni za kweli hiki ndicho alichojibu. 104.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Bukoba. Bonyeza play kumsikiliza Ney hapa.

Related

HABARI YA MJINI 828208142691434318

Post a Comment

  1. Ok sasa napata picha kuna picha au video aliweka wolper akamtagi nay mmh makubwa lazima kana kaukweli flan coz sijawahi muona wolper hata ck moja akamtag nay loooo wolper

    ReplyDelete
  2. Ney ana haki ya kua na demu yoyote , japo sidhani kama atadumu kwa wolper kwani pale kila aneingia anapashindwa.....huyo siwema arudi kwa pedeshee lake tu

    ReplyDelete
  3. Aaaaaah uo ndoukweli wenyewe wolper na nay ni wapenzi

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item