DISQUS SHORTNAME

Mmiliki wa clippers aomba radhi

Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los  Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba  radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi. Shirikisho l...


Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los  Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba  radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi. Shirikisho la mchezo huo nchini Marekani lilimpiga marufuku maisha. Bwana Sterling aliambia kituo cha televisheni cha American TV kuwa alifanya kosa kubwa sana  ambalo hata hajui anavyoweza kulirekebisha.
Katika mahojiano yatakayopeperushwa leo, itakuwa kauli ya kwanza ya Sterling tangu kutokea kakanda nambayo alikuwa anamkarpia mpenzi wake kumtaka akome kujihusisha na watu  weusi.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 3288646534230878287

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item