DISQUS SHORTNAME

Boko Haramu: Waonyesha wasichanawaliotekwa

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka  nyara  Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru w...


Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka  nyara  Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar
Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji
wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.  Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo. Walitekwa nyara kutoka katika shule yao mjini Chibok, Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo
Rais wa Ufaransa amejitolea kuwa mwenyeji wa mkutano utakaotafuta njia za kupambana na
Boko Haram.
chanzo: BBC

Related

KWINGINEKO DUNIANI 4684421925558531357

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item