DISQUS SHORTNAME

Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamuAdam Kuambiana yatafanyika Jumanne (May 20) katika makaburi ya Kinondni jijini Dar es Salaam.

Akizungumza  mwenyekiti wa  bongomovie ,Steve Nyerere amesema kuwa  marehemu ataagwa Leaders Club siku hiyo hiyo kabla ya mazishi. “Habar...


Akizungumza  mwenyekiti wa  bongomovie ,Steve Nyerere amesema kuwa  marehemu ataagwa Leaders Club siku hiyo hiyo kabla ya mazishi. “Habari za mazishi ni kwamba atazikwa siku ya  jumanne na tutazika katika makaburi ya  Kinondoni, kuagwa ataagwa siku hiyo hiyo katika viwanja vya Leaders Club kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 na baada ya hapo tutaelekea  kwenye makaburini,” alisema.
Pia Steve Nyerere amedai kuwa marehemu Adam Kuambiana alikuwa na matatizo ya tumbo ambayo ndo yadaiwa chanzo cha kifo chake. “Marehemu alikuwa nasumbuliwa na tumbo tu,  yani alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya
tumbo na hivyo ilivyotokea.”

Related

ZILIZOTUFIKIA 4624316050895916180

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item