DISQUS SHORTNAME

Mapenzi ya Rihanna na Drakeyadaiwa kwenda likizo kwa maranyingine

Imeripotiwa kuwa Drake na Rihanna ambao  walionekana kurudisha mapenzi yao kwa miezi  michache iliyopita, inasemekana wawili hao wamerudi...


Imeripotiwa kuwa Drake na Rihanna ambao  walionekana kurudisha mapenzi yao kwa miezi  michache iliyopita, inasemekana wawili hao wamerudi tena likizo ya mapenzi.  Chanzo kimeiambia US Weekly kuwa Riri na Drizzy walikuwa na ugomvi mwingine tana hivi karibuni kutokana na Drake kuwa na mapenzi mengi kwa Rihanna, kilisema chanzo hicho.
Couple hiyo yenye historia ya kuwa On na Off kwa muda mrefu ilianza kuonesha uhai mpya wa mapenzi yao walipokutana Paris, Ufaransa mwezi February, ambapo Riri alihudhuria show ya Drake, na baada ya hapo wakawa wanaonekana pamoja mara kwa mara.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 313047378163233227

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item