DISQUS SHORTNAME

Mama:'Mimi huwahami wanangukwa Kondomu'

Jinsi maisha ya sasa yanavyokwenda, wewe  kama mzazi unaweza kumpa mtoto wako zawadi  gani ambayo daima hatakusahau? Je ni pesa?  Hapana....


Jinsi maisha ya sasa yanavyokwenda, wewe  kama mzazi unaweza kumpa mtoto wako zawadi  gani ambayo daima hatakusahau? Je ni pesa?  Hapana.  Na Jee Elimu? Labda! Lakini,
mama mmoja mjini  Nairobi anaona zawadi kubwa inayowafaa watoto wake na hata wale wa jirani zake ni mipira ya  Kondom. Mwandishi wetu Seif Abdallah alikutana na mama huyo anayesema kuwa anawakinga vijana wake
kutokana na maambukizi ya HIV mjini Nairobi.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 2816200305647366782

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item