DISQUS SHORTNAME

BAADA YA KUTOONYESHWA KWA KIPINDI CHA IN MY SHOES KWA WIKI KADHAA WEMA ATAFUNGUKA IJUMAA

Baada ya kutoonyeshwa kwa kipindi cha Wema cha in my shoes meneja wake wema Martini kadinda amefunguka leo kuwa kinachofuata kitaongelewa ...

Baada ya kutoonyeshwa kwa kipindi cha Wema cha in my shoes meneja wake wema Martini kadinda amefunguka leo kuwa kinachofuata kitaongelewa ijumaa hii live kupitia East Africa TV....
kuanzia saa tisa mchana mpaka 11... just tune in to 5select usikilize nini kinaendelea?..na kwanini kilikuwa hakionyeshwi?..ambapo Wema Sepetu mwenyewe ndio atahojiwa.

Related

BONGO MOVIE 7751267647436841226

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item