DISQUS SHORTNAME

JACK WOLPER : SIJAWAHI KULIAKUACHWA

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline  Wolper amefunguka kuwa tangu aanze  kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia . Akizungumza...


STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline  Wolper amefunguka kuwa tangu aanze  kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia . Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘ kigumu’
alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje .
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume , akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi ,” alisema Wolper .

Related

HABARI YA MJINI 5739857519008146227

Post a Comment

  1. WEWE C MALAYA UNAANGALIA PESA TU NA MAGARI HUNA MAPENZI YA KWELI UTAANZAJE KULIA?ILA IPO SIKU HIZO TAMAA ZAKO NDIO ZITAKULIZA

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item