DISQUS SHORTNAME

JB ATESWA NA MAJUNGU

BABA la baba , Jacob Steven ‘ JB ’  amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala ...


BABA la baba , Jacob Steven ‘ JB ’  amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi , angechepuka .BABA la baba , Jacob Steven ‘JB’
Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni , JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti.
“Kusema ukweli majungu ni mengi kiasi ambacho kungekuwa na mbadala wa kazi ningefanya ili niwaache na majungu yao ya
kila kukicha , ” alisema JB .

Related

BONGO MOVIE 5848785269057362013

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item