JACK WOLPER : SIJAWAHI KULIAKUACHWA
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia . Akizungumza...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/jack-wolper-sijawahi-kulia-kuachwa.html
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia . Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘ kigumu’
alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje .
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume , akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi ,” alisema Wolper .


WEWE C MALAYA UNAANGALIA PESA TU NA MAGARI HUNA MAPENZI YA KWELI UTAANZAJE KULIA?ILA IPO SIKU HIZO TAMAA ZAKO NDIO ZITAKULIZA
ReplyDelete