ISABELA HAMNAZO!
Mbovumbovu za staa ! Miss Ruvuma 2006 , Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti n...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/isabela-hamnazo.html
Mbovumbovu za staa ! Miss Ruvuma 2006 ,
Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo
hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na
kuacha nyeti nje bila kujali watu waliokuwa
wakimshangaa.
Isabela Mpanda akimwaga radhi ukumbini.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi
iliyopita kwenye Ukumbi wa Mawela uliopo
Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party
ya mwigizaji , Vanita Omary ambapo Isabela
aliwashangaza watu baada ya kuacha nyeti
nje .
Bila chembe ya aibu , Isabela akivalia gauni
fupi akiwa tilalila, alikuwa akicheza muziki
huku akilinyanyua gauni juu na kuacha
sehemu nyeti za makalio nje na kusababisha
‘ kufuli’ yenye muundo wa bikini kuonekana.
Miss Ruvuma 2006 , Isabela Mpanda wakati
akiingia ukumbini .
Ishu hiyo ilizua minong ’ ono kwa baadhi ya
wageni waalikwa na kubaki wakimshangaa
kwa kitendo hicho na kudai kuwa ni
hamnazo .
Akiwa anafanya tukio hilo la kujifunua
alisikika akisema amepania sherehe hiyo
kwani yeye ndiye wifi wa Vanita na kama
mwigizaji Jacqueline Wolper aliacha kufuli
lake kubwa wazi na yeye aliamua kuonyesha
lake aina ya bikini nje ili lionekane kwani ni la
bei kubwa .
Isabela Mpanda akinyonyana ndimi na baby
wake Luteni Kalama .
“Mh, kweli huyu Isabela hamnazo yaani
anajifunua mbele za watu , hata haogopi ,
ukweli anatia aibu lakini afadhali wanaume
hawapo maana wangekuwepo ingekuwa aibu
zaidi , ” walisikika wasanii wawili wakijadiliana
huku wakimkodolea macho mwanadada
huyo.