DISQUS SHORTNAME

HUYU RACHEL NI SHEEDA

Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva , Winfrida Josephat ‘ Recho ’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake ny...

Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva , Winfrida
Josephat ‘ Recho ’ ametia fora baada ya
kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo
yake nyeti.
.. .Akizidi kufanya yake .
Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa
Sun Ciro uliopo Ubungo , Dar ambapo
kulikuwa na kinyang ’ anyiro cha kumsaka
mlimbwende wa Chuo cha Ustawi wa Jamii
kilichopo Dar huku Recho akiwa mtumbuizaji.

Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, Recho
alipanda kwa steji kupiga shoo akiwa
ametinga kivazi hicho ambacho kilikuwa ni
sawa na ‘ kufuli’ hivyo kuibua gumzo kwenye
shindano hilo ambalo aliyeibuka kidedea ni
Junis Ndalima .
Baadhi ya wanachuo wa Ustawi walionesha
kushangazwa na tukio huku wakiweka wazi
kuwa msanii huyo ni tatizo.
Ijumaa Wikienda lilipomfuata kutaka kujua
kulikoni ‘ kutokelezea ’ mbele za watu na kipisi
hicho cha kipensi hakuwa na jibu.

Related

BONGO FLAVA 4820603164215492000

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item