DISQUS SHORTNAME

HUYU REHEMA FABIAN MAJANGA

MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 , Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijami...


MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 , Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi .

Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe . Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009 , Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram. “Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika
jamii halafu ukatupia picha ya namna hii katika mtandao wa kijamii ,” alichangia mmoja wa wafuasi wa Instagram .
Source: Globel

Related

BONGO MOVIE 4083277061152213447

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item