BAADA YA KADINDA , WEMAAMSHUSHIA MABUSUMTANGAZAJI
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/baada-ya-kadinda-wema-amshushia-mabusu.html
UTAMU kolea ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya picha inayomuonesha akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘ EATV ’
Picha hiyo ambayo inasemekana imepigwa hivi karibuni ni ya kawaida lakini baadhi ya mashabiki wa Wema walidai kuwa anataka kutibua mambo kwa Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz. Hivi karibuni , picha ya Wema akimshushia mabusu meneja wake , Martin Kadinda nayo ilizagaa mtandaoni , hivyo watu wengi
kuamini kuwa msanii huyo anapenda kitendo hicho.
Source: Globel

