DISQUS SHORTNAME

Huyu ndiye msanii atakayetumbuiza kwenye harusiya Kimye Jumamosi hii

Siku zinakimbia kwa kasi na hatimaye tarehe  iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya harusi ya  Kanye West na Kim Kardashian imewadia. Ni Jumam...


Siku zinakimbia kwa kasi na hatimaye tarehe  iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya harusi ya  Kanye West na Kim Kardashian imewadia. Ni Jumamosi hii. Lakini huenda msanii ambaye Kanye alitaka atumbuize kwenye harusi hiyo,
Mary J Blige huenda asiwepo na hivyo Lana Del Rey atawaburudisha maharusi hao kwa mujibu wa mtandao HollywoodLife.  Lana Del Rey Pamoja na Lana kuwa katikati ya ziara yake ya  Marekani atasimama kwa muda kwenda Paris Ufaransa Jumamosi hii pale Kim na Kanye watakapofunga ndoa.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 943052306866920214

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item