AY, Salama, na Masanja ndiomastaa pekee (kwenye showbiz)Tanzania wenye followers zaidi yalaki 1 Twitter
Masanja Mkandamizaji na Salama Jabir wameungana na Ambwene Yesaya aka AY katika kundi la mastaa wa Tanzania wenye followers zaidi ya la...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/ay-salama-na-masanja-ndio-mastaa-pekee.html
Masanja Mkandamizaji na Salama Jabir wameungana na Ambwene Yesaya aka AY katika
kundi la mastaa wa Tanzania wenye followers zaidi ya laki moja kwenye mtandao wa Twitter.
Hadi leo hii AY ana followers 104,541, Masanja 101,165 na Salama Jabir 100,608.
Hata hivyo AY, Masanya na Salama si watanzania pekee waliofikisha zaidi ya followers laki moja
kwenye mtandao huo. Wengine ni Rais Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe na Hasheem Thabeet.

