FUNGUKA NA UJISHINDIE BANDO LA INTERNET LA WEEK NZIMA
TATIZO LA KUSAMBAA KWA PICHA/VIDEO ZA UTUPU AMBALO LIMEKUWA SUGU HUMU MITANDAONI LIMEKUWA KERO HASA KWA WALE WANAOFANYIWA MCHEZO HUO BILA ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/funguka-na-ujishindie-bando-la-internet.html
TATIZO LA KUSAMBAA KWA PICHA/VIDEO ZA UTUPU AMBALO LIMEKUWA SUGU HUMU MITANDAONI LIMEKUWA KERO HASA KWA WALE WANAOFANYIWA MCHEZO HUO BILA MATAKWA YAO!..KUNA WENGINE WAMEJIZURU WENGINE WAMEJIUA...
WENGI WAO WAMEFANYIWA HIVYO BAADA YA KUACHANA NA WAPENZI WAO AU SABABU ZINGINE KAMA HIZO....JE NINI KIFANYIKE ILI KUPUNGUZA AU KUONDOA KABISA TABIA HIZI ZA UDHALILISHAJI??
ZINGATIA HAYA :
*USITOKE NJE YA MADA
*USITUMIE LUGHA YA MATUSI
*ANDIKA JINA AU EMAIL YAKO ILI UKISHINDA UTUMIWE ZAWADI YAKO
*MSHINDI ATATANGAZWA KESHO SAA 4 ASUBUHI HAPA BLOG NA INSTAGRAM KATIKA ACCOUNT YA @gossipcourt
*ZAWADI NI BANDO LA INTERNET LA WIKI NZIMA MTANDAO WOWOTE UTAKAOTAKA
#TUNASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.
WENGI WAO WAMEFANYIWA HIVYO BAADA YA KUACHANA NA WAPENZI WAO AU SABABU ZINGINE KAMA HIZO....JE NINI KIFANYIKE ILI KUPUNGUZA AU KUONDOA KABISA TABIA HIZI ZA UDHALILISHAJI??
ZINGATIA HAYA :
*USITOKE NJE YA MADA
*USITUMIE LUGHA YA MATUSI
*ANDIKA JINA AU EMAIL YAKO ILI UKISHINDA UTUMIWE ZAWADI YAKO
*MSHINDI ATATANGAZWA KESHO SAA 4 ASUBUHI HAPA BLOG NA INSTAGRAM KATIKA ACCOUNT YA @gossipcourt
*ZAWADI NI BANDO LA INTERNET LA WIKI NZIMA MTANDAO WOWOTE UTAKAOTAKA
#TUNASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.


Wanaifanyia hivyo wenzao washitakiwe ndio itakuwa komesha
ReplyDeletefirst, mwanamke kama mwanamke mwanaume akikuambia kupige picha ukiwa uchi lazima ukatae kwani kupendana sio mpaka mpigane picha za uchi, mungu anasema tuustiri uchi zetu na tufunike maumbo yetu, pili kuna wale wanaopiga wachumba zao picha bila ya wao kujua au ni lazima wachukuliwe sheria kali msichan aukijua mwanaume wako amekupiga picha bila wewe kujua kamshitaki hata kama unampenda coz anaekupenda hawezi kukudhalilisha kwa kukupiga picha za uchi, tau sheria kali zitungwe kwa wale wanaopost picha za uchi yani kama ni blog basi ifunfiwe tukumbuke hadi watoto wadogo wanasoma blog nowdays so blogerrs lazima wawe makini msipende kufurahisha watu kwa kuweka hayo mapicha ya uchi mnajidhalilisha wenyewe pia imagine ni ndugu yako umeona picha yake ya uchi mtandaoni. all in all tunatakiwa sis wanawake wenyewe tuwe makini na tukatae kupigwa picha za uchi na wala kujipiga wenyewe na kuwatumia hao so called boyfriends. tubadilikeni ni siku za mwisho. na wewe mwanaume unaetuma picha za uchi mtandaoni sio mzima! weekend njema wote
ReplyDeletenawambia wanawake kwanza usikubali kupigwa picha ya uchi hata kama ni mumeo USIKUBALI hata iwe na wanafunzi wenzio jinsia ya kike for fan usikubali fikiria athari zake kwanza, picha ikifika mtandaoni ndo haitoki.. sasa basi ushauri ni kwamba yoyote atakae isambaza picha or video hizo ashitakiwe YOYOTE ikiwa mtandao wowote utarusha picha/video ya aina iyo ya uzalilishaji ushitakiwe na adhabu kali ziwekwe za kumlipa fidia kutokana na kumdhalilisha so kama blog wataeka picha zake wanapaswa wamlipe fidia , na mpigaji picha /video naye ashitakiwe na adhabu kali ya kifungo iwepo na fidia juu kwa kufanya hivo tatizo ilo litakwisha kabisa hasa mitandaoni
ReplyDeleteMm naona kwanza TCRA watoe somo kuhucana n ma2miz mabaya ya mtandao n sheria zake. Wao wamekazana n kusajil line 2 ila hko ki2 kitasaidia sn kupunguza hyo ki2. iwe kushirik hko kitendo kiwe n sheria zake. Pia wacchana 2ckubal ku2miana n wapenz we2 picha za uchi kumuonesha unaoga cjui uko choon, u might loose ua phone au mchiz akapoteza yake. Also kwa wanaume wanaowafanyia mchezo huo wapenz wao wawe wa kwanza kukutwa n sheria za mawasiliano ambazo ztakua publicized kila m2 anajua. Kingine vyuon huko ndo mchezo huo umekisir, wizara ya elim ingejitahid kuwapatia maboom mapema wanafunz maana ndo wanaishia kucheza vdeo za utupu. Pia serikali iongeze upatkanaj wa ajira maana kaz hakna m2 anaona acheze vdeo ya u2pu alipwe pesa atambae. Kmbe vdeo ibasambazwa kny mitandao ya kijamii mwsho wa cku mcchana anakua blamed. Nnayo meng ila vdole vyauma, my email z neyrick2007@gmail.com
ReplyDeletehatua kali zichukuliwe kwa mpigaji na mpigwaji wa picha mana kuna picha unajua huyu alipozi asaa kuchukuliwa picha or video kuwepo na sheria ambayo ijulikane kufanya hivyo ni kosa, na adhabu kali itawapa pindi wakifanya hivyo, vile vile azabu mara mbili yake kwa wale waliochua picha bila ridhaa za wahusika na iwe marufuku kabisa kuwekwa mitandaoni picha za ivo,jengine kuwe elimu juu ya hawa wasichana wetu wajue athari yake vyombo vya habari vichukue jukumu hili kuelimisha badala ya kuzidi kuzalilisha watu
ReplyDelete