DISQUS SHORTNAME

PREZZO SI MCHEZO KATIKA SUALA LA MATUMIZI YA PESA

Hivi karibuni Prezzo  ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin,...

Hivi karibuni Prezzo  ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin,  viatu hivyo vina thamani ya shilingi milioni
mbili = (2,000,000/-), viatu adimu kuvikuta kwenye maduka yetu haya ya kawaida ya kitaa, tukio lilowaacha mashabiki wengi mdomo wazi pale walipogundua haswa thamani halisi ya viatu hivyo.

Prezzo amezoeleka kuwa ni mtu wa matanuzi ya makubwa sana, kuanzia  kubook private plane kuzunguka tu, kutoka mji mmoja hadi mwingine, kununua magari ya kifahari na mengine  mengi ambayo kwa msanii wa kawaida imekuwa bado ni ndoto. Ila kwa msanii prezzo inasemekana utajiri wake si tu wa kutegemea muziki peke yake, mbali na muziki anafanya biashara nyingi tu, ikiwemo uuzaji wa madini.

Related

BONGO FLAVA 3653965387571011604

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item