DISQUS SHORTNAME

Davido aingia matatani kwa hikikitendo alichokifanya.

Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki  tunamjua kama Davido na yeye  anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).L...


Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki  tunamjua kama Davido na yeye  anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris Brown na Justin Bieber, kuwa na pesa nyingi na umaarufu akiwa na umri mdogo. Akiwa kwenye harakati zake za kwenda kwenye show uingereza Davido alifika airport  na passport yake ya Marekani.Maafisa  wakamwambia alete passport ya Nigeria kwasababu passport hiyo ya Marekani haikuwa
na karatasi za visa ya kuingia Nigeria kwa hiyo utaratibu haujafuatwa. Davido alisisitiza kwamba anayo passport ya Nigeria lakini ameiacha nyumbani. Hakuruhusiwa kusafiri hadi hiyo passport ya Nigeria ilivyoletwa na akaruhusiwa kusafiri.
Baada ya hapo ali-tweet akiwatusi maafisa wa hapo airport kwa kile kilichotokea. Ofisi ya maafisa wa uhamiaji wamesema tabia kama hiyo ya bwana Davido Adeleke sio sawa
kabisa kwasababu afisa huyo alifata utaratibu wa kazi ambao umesaidia Davido. Huko mbele ya safari angeweza kurudishwa au kuaibika zaidi kwani kwenye airport nyingine ambapo  utaratibu unafatwa kwa hali ya juu wasingemruhusu kuendelea na safari.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 428388004875886044

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item