DISQUS SHORTNAME

Ciara na Future wamepata mtoto! mama kashea nusu picha yake

Ni mastaa ambao walipoanza mapenzi yao  wengi waliona kama wanafanya hivyo ili kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao l...


Ni mastaa ambao walipoanza mapenzi yao  wengi waliona kama wanafanya hivyo ili
kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao lakini May 19 2014 mastaa hawa
wamepata mtoto wao wa kwanza pamoja japo akiwa ni mtoto wa nne kwa Future.
  Mtoto alizaliwa Los Angeles Marekani na tayari  saa kadhaa baadae mama yake akashea picha  ya kwanza ya mtoto huyu japo ni nusu picha. Stori kama hizi ni halali yako zisikupite…. ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA ,  kama upo Facebook na Instagram pia unaweza kubonyeza FB na INSTA ili kupata kila stori inayonifikia zikiwemo videoz, vituko, pichaz,  music na mengine yote.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 6271106982386615383

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item