AUNT AKUMBUKA KIPIGO CHAKUAMBIANA
WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alich...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/aunt-akumbuka-kipigo-cha-kuambiana.html
WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa na Kuambiana yeye na Wema , wiki chache zilizopita. Mrembo Aunt Ezekiel.
Akiteta na kona hii , jana jijini Dar , Aunt alisema : “Nakumbuka hiyo siku , tulikuwa location , Mikocheni mimi , Wema , Martin Kadinda na wasanii wengine tukirekodi filamu
ya Wema . Kuna kitu tulikosea, Kuambiana akatupiga mimi na Wema . “Alikuwa makini sana na kazi yake, hakupenda mzaha unapofika muda wa kazi . Nikikumbuka ile siku huwa namkumbuka sana Kuambiana kwa kweli . Mungu ampumzishe kwa amani .”

