BETHIDEI YAWAGOMBANISHADAVINA, SHOSTI ’AKE
SHEREHE ya bethidei ya msanii wa filamu Vivian Minza ambaye ni shosti wa Halima Yahya ‘ Davina ’ iliyofanyika Mei 1, mwaka huu imed...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/bethidei-yawagombanisha-davina-shosti.html
SHEREHE ya bethidei ya msanii wa filamu Vivian Minza ambaye ni shosti wa Halima Yahya ‘ Davina ’ iliyofanyika Mei 1, mwaka huu imedaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kuvunja urafiki wa wawili hao .
Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina ’. Imeelezwa kuwa kutofautiana kwao ni Davina kutokwenda katika sherehe hiyo , ili kujiridhisha na madai hayo, paparazi wetu alimtafuta Davina , akafunguka : “Mwenzangu kweli kanichunia lakini najua yataisha tu , sababu ni kutokwenda kwenye sherehe yake ya kuzaliwa kwani yeye huwa anajitoa sana kwangu , siku hiyo nilikuwa naumwa sana, ” alisema Davina .


Davina uwa hana shukrani kabisaa asijishaue tunamjua
ReplyDelete