SNURA AMFAGILIA SHEM WAKE DIAMOND
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/snura-amfagilia-shem-wake-diamond.html
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za
Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul alistahili kuzipata kwani anajituma. Msanii wa muziki na filamu Bongo , Snura Mushi , ' Mama Majanga' . Akichonga na gazeti hili , Snura alisema Diamond ni mwanamuziki anayejituma sana pia ni mbunifu na juhudi zake ndizo zimemfanya ashinde tuzo zote hizo .
Mkali wa Bongo fleva , Nasibu Abdul , ' Diamond Platinumz ' . “Mimi nilikuwa kwenye kipengele cha msanii chipukizi lakini haikuwa bahati yangu, naamini wakati wangu ukifika nitapata tuzo sina haraka ila kwa shemeji Diamond alistahili kupata ,” alisema Snura.


Huyu ndo alikua rafiki wa kweli qa wema sema tu ndo ivyo snura anapenda sana waganga madam alimstukia
ReplyDelete